Recent content by Tazzan Dengu

  1. T

    Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Basi endelea na uongo wako ukifa tu utagundua point na utakuwa umeshachelewa
  2. T

    Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Uliona wapi kwenye biblia ya kwamba mtu alienda Shule akamaliza ndio akaanza huduma Yeremia alisoma shahada ipi? Vitu vingine mtumie akili hata kama hamna mungu hafwati taratibu za wanadamu
  3. T

    Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Weee mjinga kabisa. Tangu lini roho akafwata taratibu za wanadamu. Kasome bibilia ndio urudi uchangie.
  4. T

    Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Wewe ndio mjinga kuliko wajinga wote waliowahi kutokea. Ndio maana ni ngumu sana Watu kama wewe kufika mbali. Uko radhi umpinge mtanzania mwenzako na kutukana huduma yake lakini usifie huduma za watu wa magharibi kwa sababu ambazo hazileti hata maana uanze cha kwako leo utake kupewa support??
  5. T

    Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Amemtapeli nani nitajie mtu mmoja tu! Au unalopoka tu??
  6. T

    Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Kila kitu kina fanya kazi kwenye dimension yake. Mafuta hayawezi kuchanganywa na maji, ukiweka mafuta kwenye moto yanachemka lakini maji yanapotelea hewani.
  7. T

    GE2020 Gwajima: Aliwatusi Kardinali Pengo, Waislamu, CCM, Makonda, leo yupo jukwaani

    Muda mwingine uwe unatumia akili hata kama unazo ndogo. Kwani gwajima kuota tatizo liko wapi kwani Kuna aliekatazwa kuwa na ndoto na akazisema hadharini?? Kwani si ndio nyie wapinzani mliokuwa mmnamshabika akiwa anakemea maovu ya serikali?? Kiufupi hamna jipya mmeishiwa ndio maana mnahangaika...
  8. T

    GE2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

    Haya ni mawazo mgando kudhani mchungaji kuingia kwenye siasa ni kutafuta ulaji. Tunahitaji watu potential kwenye siasa za nchi bila kujali dini zao, makabila yao etc Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
  9. T

    GE2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

    Ila wabongo bhana... kwahiyo mnaona inawezekana mtu kua mchungaji na mfanyabiashara ila haiwezakani kua mchungaji na mwanasiasa. Binafsi mm sio mfuasi wa gwaji lakini yule jamaa ni asset sana akienda bungeni, acheni siasa uchwara. Human beings and dynamic and being dynamic to things of positive...
  10. T

    GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Wewe umesikia wapi; ukitumia akili yako japo hata kidogo utaelewa kwamba Gwajima anamtaji mkubwa sana wa watu kuliko Mdee Sent from my HTC Desire 12 using JamiiForums mobile app
  11. T

    GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Pongezi zake Gwajima; Alete maendeleo Kawe! Sent from my HTC Desire 12 using JamiiForums mobile app
  12. T

    Ni nani yuko nyuma ya BBC Swahili?

    Ila tuseme tuu ule ukweli,Gwajima haongeagi bila kufanya research, na anayosemaga mengi sana yanakuaga kweli, sasa mambo ya 5G mbona biligeti kapingwa hadi na wamarekani kwakutaka kutuletea chanjo yenye radio wavesWhy BBC mnamwandama gwajima tuu?Au mmekula maaharage ya Chadema[emoji1787]
Back
Top Bottom