Kuna madem wanagundu kichiz nilikuwa na goma moja hiv kila nikipiga nikienda kazini gar inasumbua kichiz nikaja kuliwangia nilivyo acha tu mambo yakawa fresh
Mkuu hii ishu usiangalie upande wako anagali watoto mi imeshanikuta kama yako wife nilikuwa na muamini kupita maelezo lkn alichonifanyia ni majanga matupi nilitaka nichukue huamuz mgumu kabisa wa kumpoteza ni mungu tu aliingilia kat na watoto walichangia nikasema huu uwamuz ndakao fanya wanangu...
Kama huna helaKuna Muda Unaona Baadhi Ya Ndugu Zako Msaada Wao Mkubwa Kwako Uliobaki Ni Kukuzika Tu Lakini Siku Zinavyozidi Kwenda Unaona Hata Ule Msaada Wao Wa Kukuzika Unaweza Usiupate.
Kama mm mkuu yan napitia kipindi kigumu sana hata baadhi ya ndugu zangu nilio wawezesha hata kukopoea cm yngu shida, nikiwaangalia wanangu na wife chozi linanitoka lenyelewe dah yn haya maisha yana changamoto nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.