Ni kweli, nimekuja gundua kuna aina flani ya watu ambao hujifikiria wenyewe tuu, na hao wapo katika jamii yetu. Iwe ni ndugi, rafiki, ama mpenzi. Ukitizama vizuri dini zetu, hata sheria.. kwa namna moja au nyingine twjifunza kuwapenda wenzetu, hivyo basi ukimjali mtu yeyote kama unavyojijali...