[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji134][emoji134][emoji134] Waarabu cyoo ndg yangu teena kaulit mbiu yao uarabu kwanza uislam baadaye wabinafsii sanaa wanatudharau sana watu weusii mm Waarabu hapana kwakweli
Anakufundisha miaka [emoji817] are siliaz Faiza miaka [emoji817] achota aneemekaa yeye alafu wa Tanzania wako tayari kufundishika semaa wameona Tanganyika shamba la Bibi yaaani wawafundishe ili kesho wasije kuvuna teenaa [emoji35][emoji34][emoji35][emoji34] bora kuhamia korea...
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mkuu mwsho anaye kuja kuteseka ni mwananchi wa hali ya chini mlipa kodi achaa tuone [emoji15][emoji849][emoji3064]hayo mahospital ya DP kama tutatibiwa bureeeee[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ukweli utabaki palepaleee hakunaa cha bureeeee kipo wanachotaka na watakichukuaaaa Tz[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241] nchi yangu
[emoji1][emoji3][emoji1][emoji3][emoji1][emoji3]na ww unataka akupe daaaaah nchi ngumu hii eeeh any way njoo uwalogeee bhana kwa mtaalamuui wageuke kuwa [emoji250] [emoji250]
Mama angu alilia cku moja na wale wanakupigia alafu wanakwambia wametuma hela kimakosa laki na thelathin bi mkubwa aliwafowadia elfu na moja ndy salio alilokuwa nalo kwa cm yaaani alipigwa kizembe tu sasa mkuu kunywa maji upumzike ubongo uli lirax upyaaa iyooo imesepaaaaaa
Ualimu ni faraja watu wapita kwenda kuwa doctor ruban nk ukubwaa jalala mtupaji ajui shida aipatayo jalala kwa kumtupia takataka vinyesi nk aktukanae akuchagulii tusii uwezi kuvaa sitie kabla ya nepi Walimu heshima yenu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]sotee tumepita kwenye mikono yenuuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.