Recent content by Tate top G

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa Binti alikuwa anakutanishwa na Baba mzazi kwa kificho

    Sijui niongeze sauti
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Ni kweli King cobra anamla koboko ila ukiambiwa kati ya cobra na koboko, Nani ufungiwe nae chumba kimoja, chagua cobra
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

    Nilikuwa nafanya kazi super market flani hivi nikiwa kijana, alikuwa anakuja binti flani ana alama flani nyeusi chini ya jicho halafu ama macho mazuri Sana.Nilimpenda sana nahisi alijua maana alikuwa akifika kununua mikate nilikuwa namuangalia mda wote hadi anaondoka
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Story inawezA kuwa ya kweli ila hapo kumla tigo umeongezA chumvi
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Mpaka mwanaume atake kukuchinja basi ulimsaliti???Ni ngumu mwanaume kuwa na chuki kiwango hicho kma sio usaliti
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

    Kwamba wanahudumia ndo hawasaidiwi au umeamua ku gaslight mtoa mada??
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Kifupi na tumeachana...kwani nazuiwa kuishi maisha yangu?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Uchungu ninao ila nachojivunia ni skills za kuhandle uchungu... Nipo na knowledge kubwa sana kudondoshwa na break up.. Yaani uwezo wangu wakuishi na hisia zangu,kuijua process ya stress inavyoenda... Mtu hawezi kusema ukae na mwanamke uchumba miaKa 6 ndoa miaka 4 halafu kaachana nae bila...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Bora maana kisheria una haki zako.Pili hautajuta maamuzi yako na kudhalilika
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Hayupo hata sasa
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Mimi niliamini sana katika Ndoa katika kushirikiana katika umoja... Pamoja na madhaifu yangu ila siku zote nilikuwa na huruma na mke wangu.. Nimeoa aina ya mwanamke ambaye ukimkabidhi mwanaume yeyote mwenye akili timamu hawezi kudumu nae hata mwaka 1 ila vyote nilipuuzA japo hasira za hapa na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Nadhani katika kosa kubwa nililofanya mpaka sasa maishani ni Kuoa... Ku sign zile Docs... GUYS,wekeni wanawake ndani ila msioe kwa Ndoa za kisheria..
  13. T

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Wasipoelewa hapa basi tena...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Book name:How to make esp work for you..
  15. T

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mi nawajua,watu wawili ambao wapo vzr kwenye ulimwengu wa roho.. Aisee hao wana uwezo na nguvu ya Mungu ndani yao.. Kifupi mambo yanawezekana hasa haya ya kujua taarifa za mtu za nyuma,kati na mbele,kafungwa wapi afanye nini atoke.Kifupi kuna watu wana hizi nguvu Tukija kwenye vitabu...
Back
Top Bottom