Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa anazouza.
Vijana wengi hasa kwenye biashara ya nguo wamejikuta wanafunga biashara zao chini...
Pumba tupu umeandika. Wamasai wa Ngorongoro wamedekezwa mno. Na hao wanaharakati wanaowatetea ni kwamba wanaumia harakati zao kufikia tamati kwasababu walikuwa wanaingiza pesa nyingi toka kwa mabeberu kwa kujifanya watetezi wa masai. Kinachonikera ni masai kutaka wawe na maamuzi pale NCAA. Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.