Kairuki mama wa vyeti feki na ajira mpya sasa akagombane na makinikia huko
Hongera bashe ila ndo ushanyamazishwa hivyo manake ulishaanza kumchachafya Sizonje
Mkuu acha kuwaibia wadada hiyo bei,huku kanda ya ziwa tunaziuza elfu 5-8 ila bado kuna changamoto wadada wanaona kinyaa kufua damu zao elimu inahitajika kuwaelimisha,binafsi nlifanya hii biashara ila now vyuma vimekaza
Anavyopenda sifa ya kuonekana onekana na kusema yeye ni rais wa wanyonge sasa akitumia helicopter atajigamba kwa nani huko angani manake hata kunguru washamchoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.