Recent content by Tatama

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla hatujacheza, tunataka mtwambie kwa nini mechi ya tarehe 15/06/2025 Iliahirishwa, na kwa nini tucheze kesho?

    Ntakuwa wa mwisho kuamini hili,timu mtaleta mtake msitake niko pale nimekaa
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia ulikosea sana kukubali Kuingizwa 'Kichwa Kichwa' katika Siasa za UYANGA na USIMBA, na sasa Mpira wa Tanzania unaenda Kuchafuka mazima

    Ikiwa simba hatatokea basi naungana nawe ila mama ni mpatanishi mitano tena kwake
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba haijatuma wawakilishi kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari kuelekea Kariakoo Dabi

    Simba anajipanga kwa hofu ijapo iko vizuri ila woga tu na kesho wapo uwanjani
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kweli Simba mnaenda kugomea hii Derby, mtakuwa mmeigomea Mamlaka kuu ya Nchi

    Nasema hivi,simba hawezi kugoma kesho yupo na mchezo utakuwa mzuri sana, kesho kuna timu italala na viatu
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna upuuzi kama wa Simba kukubali kucheza kwa amri ya serikali,labda watwambie soka Tanzania ni mchezo wa kuigiza

    Uko sahihi,kachukue maji kwa muha nakuja kulipa
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025

    Haha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bashiri utabiri wako kuelekea Kariakoo Derby

    Yanga 2,simba 2 mtakuja kunishukuru,wazee wa mikeka msifanye kosa
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam FC inavyowapa taabu wachambuzi wa Azam Tv kuwatetea

    Haswa dalili naziona namimi.
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam FC inavyowapa taabu wachambuzi wa Azam Tv kuwatetea

    Kabisa,ila ndo hivo mpaka marefa wawe fair,au VAR zifungwe vinginevyo mpira huu wa Tanzania kamwe hautakuwa fair, niko hapa nimekaa.
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam FC inavyowapa taabu wachambuzi wa Azam Tv kuwatetea

    Kwakweli ameharibu,ile siyo penati maana aliyeshika alikuwa mchezaji wa namungo ikatafsiriwa ni wa Dodoma jiji.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

    Usajili wa laini yake,ushajulikana, popote aendapo atakamatwa heri ajisalimishe anaweza eleza ukweli wote kwenye hukumu akafikiriwa,akikimbia ataonekana ye ndo mwizi,atalipa vyote na kifungo juu
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba waitosa klabu yao mechi ya CS Sfaxien. Mwitikio mdogo wa ununuzi wa tiketi licha ya kuwa TSh. 3000

    Hahahahaja,ila watu mhmh siwawezi
  13. T

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadili majina ya mtoto shuleni ukoje??

    Huyo kurekebisha jina inawezekana kabla ya kufanya mtihani wa darasa la nne kikubwa vizia mfumo wa PREM ukiruhusiwa nenda shule ufanye hayo mabadiliko..Akisajiliwa tu NECTA hapo ndiyo basi tena.
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nataka Kumuacha, sina pa kuanzia

    The kwenye hiyo ndoa tena umechelewa
Back
Top Bottom