Ushauri wako unaukweli kidogo. Lakini walimu wa Kitanzania katika shule hizi almost ni watumwa katika nchi yao. Walimu hawa ni professional wazuri sana (hakuna international school inayochukuwa walimu wenye uwezo mdogo) ukilinganisha na wageni ambao wengi wao wanajua lugha vizuri, kidogo au ya...
Mbona hamponyi corona sasa? Pamoja na kukusanyika kwa siku zote hizo idadi ya wagonjwa inazidi kuongezeka? Kuendelea na mikusanyiko ya ibada hali tunajua wazi ugonjwa unaambukiza sana kutokana na mikusanyiko ni kumjaribu Mungu wala haina tofauti na shetani alivyomtaka Yesu amjaribu Mungu. Majibu...
Mkuu
Mkuu naamini hivi karibuni utaelewa mtoa maada anamaanisha nini? Tumia akili kidogo tu, ongezeko LA wagonjwa within 24hrs pekee ni asilimia ngapi (naamanisha Leo tu 35 kutoka 53). Nadhani ni wendawazimu kuthamini mapato badala kuokoa maisha ya walipa kodi kwanza. Dunia nzima watu wenye...
Mkuu Soma vizuri alichokisema, mosi "lengo kubwa ni kudhibiti maambukizi". Total lockdown ni ngumu kwa watanzania wengi kuweza kuishi. Ni vema maeneo yenye maambukizi kama Dar, Zanzibar, Arusha, n.k. ilifaa yawe isolated. Misongamano ipigwe maarufuku kabisa. Tunapowaambia watu waajiepushe na...
Tunazidi kupata hasara kwa kwa kujiweka katika risk kubwa ya maambukizi toka ndani na nje ya nchi kitu ambacho kitapelekea kupoteza maisha ya watu wenge zaidi.
Pia kwa kuwa wenzetu wamechukuwa hatua mapema, wakati wao wanapokuwa hawana maambukizi sisi huenda tukawa na hali mbaya zaidi...
technically,
Kwa hili la kufunga nakuunga mkono kwa asilimia 100 japo tumechelewa lakini athari zinaweza kupungua kuliko hii njia tunayoitumia.
Wataalamu wa afya wangeruhusiwa kutueleza hatua sahihi za kujikinga na ugonjwa huu badala kuamuliwa na wanasiasa.
Tujiulize swali dogo Watanzania...
Kwa kuwa naamini mkuu atalishughulikia hivi punde. Ndipo utapojua wanaodai ni vibarua au wafanyakazi wenye mikataba na wanastahili haki hizo. Kwa jibu hilo yawezekana wewe n HR wake.
Hiki ni kilio chetu wafanyakazi cha zaidi ya mwaka mmoja tangu kuanza kufuatilia suala hili bila mafanikio katika ofisi zifuatazo:-
(1) Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni
(2) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
(3) NSSF-Kinondoni
(4) Vyombo vya habari vya binafsi na serikali (Shirika letu pendwa la...
Ibada kanisani na msikitini inajumuisha watu wengi. Ni mikusanyiko ya watu mbalimbali ambayo watalaam wa afya wanasema ni hatari sana. Kumbuka kunawa mikono pekee si kinga ya ugonjwa huu. Watanzania tutumie akili walau kidogo, China, Italy, USA, etc, hatuoni wala kusiki watu wakihimizwa kunawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.