BREAKING NEWS!! NAIBU WAZIRI (F) MWIGULU NCHEMBA ACHARUKA,AMVAA SPIKA MAMA MAKINDA KUHUSU MISAMAHA YA KODI.
ASISITIZA WATANZANIA MASKINI HAWAWEZI KUENDELEA KUBEBA MZIGO WA UCHUMI WAKATI KUNA WATU WANAKWEPA KODI KUPITIA MISAMAHA ISIYO NA TIJA.
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida na nadra Kutokea...
KAmati ya Kanuni imependekeza Kupigwa Kura kwa Mifumo yote miwili ilikumaliza Mgogoro wa Namna ya Upigaji Kura.
Wanaotaka kupiga kura ya Wazi watapiga
Wanaotaka Kura ya Siri watapiga
HAya ndi Maridhiano ili kila mtu awe huru ba uamzi wake.
Inasikitisha sana Kulazimisha Watu wakubali maoni...
Naibu Waziri wa Fedha mhe Mwigulu Nchemba amehutubia kikao cha pamoja cha bunge la ACP na EU katika mji wa Strasbourg nchini Ufaransa.
Katika hotuba yake, mhe Mwigulu alianza kwa kukishukuru chombo hicho kwa ajili ya msimamo wake usioyumba kwenye maswala ya amani akitolea mfano wa kazi nzuri...
Kunapicha akiwa na Fuko la Feza naipandisha Muda si Mrefu Ngoja nifike kwenye PC yangu hapa Natumia Simu.Achana na Picha akiwa na Polisi ninayo Nyingine
Hivi sasa ameshafikishwa Polisi,Picha nazipandisha Muda huuu hapa.
Ni aibu ya kutupwa CHADEMA Baada ya Kushindwa kwa Kila Mbinu wameamua Kuingiza Fuko la Fedha Kalenga kuhonga Wapiga kura,Kununua Shahada za Kupigia Kura.
Mbaya zaidi wameingiza Genge la Wauaji na Wamwagiaji Tindikali kama...
Hii leo Mwigulu Nchemba ametikisa Jimbo la Kalenga Kata ya Magulilwa<chadema Wapoteana Kalenga eti wanaomba Kufanya Kampeni hata siku ya Uchaguzi Kwa Helkopta,
Picha zaidi ZinawajiaKatibu Mkuu CCM Taifa (Kulia) Kanali Mstaafu Kinana na Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara (Kushoto) Mh.Mwigulu Nchemba...
TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE
FABIAN LEONARD SKAUKI MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI CUF DHIDI YAMATHAYO MANGUNDA TORONGEY MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO -CHADEMA13.03.2014
Mimi FABIAN L. SKAUKI, mgombea ubunge wa uchaguzi mdogo jimbo la...
Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka Mkoa wa Tanga Ndugu Husna Mbwambo Sekiboko amefunga tawi la Chadema katika Kijiji Cha Lukozi na kupandisha Bendera ya Chama Cha Mapinduzi kutangaza Ufalme mpya wa Chama hicho cha siasa...
Mwenyekiti wa Chadema katika kijiji cha Wangama jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi ya chama hicho kwa Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga, baada ya kutangaza kuhamia CCM, kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa CCM jimboni humo, leo. Kwa...
Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa (kulia) akiwa na bibi yake, Consolata Semgovano wakipungia mikono wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji alichozaliwa cha Magunga, Iringa Vijijini leo.
Nyumbani alikozaliwa...
CHADEMA YAZIDI KUPUKUTIKA, MWINGINE TENA AKABIDHI KADI NA KUJIUNGA NA CCM
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Musa Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti...
MWENYEKITI wa Kitongoji cha Lupembelwasenga, Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya Chadema, Ezekiel Kibiki akikabishi kadi ya chama hicho kwa Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Delfina Mtavilalo, baada ya kutangaza kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo katika...
WanaCHADEMA wanaoweweseka na Uteuzi Wa Mgimwa - Kalenga, na Ridhiwani - Chalinze.
Msitoe Kibanzi macho ya wenzenu ya kwenu yangali na Boriti.....
Ubunge Wa kupeana umeanzia Kwenu
1. Tundu Lissu, Dada yake Christina Lissu.
2. Philemon Ndesamburo mtoto wake Wa kumzaa Lucy Philemon Ndesamburo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.