Mkuu! huko Makunda mimi napajua vizuri sana, kijiji kimezungukwa na vijiji vingine kama Mkulu, simbalungwala,kizaga,misigiri,kyengege, ulemo,kitukutu....mimi mwenyewe nimeishi sana kijiji cha kyengege, kijiji ambacho kiko jirani sana na makunda huko ulilkotaja wewe... nijuavyo mimi ni stori tu...