Na mkataba ukitoka sasa ukawa umeandikwa miaka 25 Kama nchi nyengine utashangaa mtaa wapili wanasema “wamebadilisha baada ya kuwapa pressure “ na watanzania wataamini kua wao pamoja na wapinzani ndo wamesababisha mkataba ukabadilishwa kutoka miaka 100 mpka miaka 25. Siasa bhna 🤣🤣🤣🤣
Umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa, unawezesha kila kitu kuanzia majumbani, biashara, hospitali, shule nk. Hata hivyo, katika nchi nyingi zinazoendelea, upatikanaji wa umeme ambao unategemewa sana bado ni changamoto kubwa. Ndani ya Nchi yetu ya Tanzania kuna shirika moja tu linalohusika...
Kura yangu umepata naomba na wewe ukipat muda upitie makala yangu unaweza kuchangia kwa maoni, kura n.K
Thread 'Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo vya ghafla vya watoto'
SoC 2022 - Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili...

Kura yangu nimekupatia naomba na wewe ukipata muda upitie makala yangu fupi ya elimu
Thread 'Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo vya ghafla vya watoto'
SoC 2022 - Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo...
Kurq yangu unayo na ni kwasababu naunga mkono mabadiliko yoyote ambayo ni chanya kwenye sekta ya Elimu
Naomba ukipata muda upitie pia makala yangu
Thread 'Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo vya ghafla vya watoto'
SoC 2022 - Elimu ya huduma ya...
Huduma ya kwanza ni huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi.
Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha ya...
Huduma ya kwanza inamaanisha huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi.
Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha...
Kwani hela inayotoka kutengeneza miundombinu inatoka wap? Hata wananchi wafanye kazi kama punda mchana kutwa serikali itatoa budget kulingana na matakwa yaliyopo, na ukute fikra kama yako ndo inafanya wasieke budget za kutosha kwenye mambo mengi ya muhimu. hiyo ni suggestion inatolewa serikali...
Dunia nzima? Lazima?? Mbona umeongea as if ni factual? Hahah masomo uliyoyasoma ww sekondari marekani wanafunzi wameyasoma primary, hayo uliyoyasoma chuo wenzako wameyasoma highschool. Jaribu ku google masomo ya wanafunzi wa marekani afu uje utuambie ni dunia nzima ipi unayoiongelea na usije...
Wewe sasa ndo unaongopa kusema elimu ya Tanzania haina tatizo matatizo yapo mengi sana na kwa hela wanazoekea budget watu wengi tunategemea makubwa kuliko wanayofanya, elimu ya Tanzania inahitaji more practice kuliko theories na kama unaona ni swala tu la mtazamo tena kwa sababu kuna vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.