KERO ! Tigo mastercard nimepokea refund ya 4.3 million makato niliyokatwa ni laki 9 (931,000). Tigo nahitaji pesa yangu. Mamlaka husika chunguzeni makatato ya Tigo pesa. Watanzani pesa zao zinapotea kwenye makato ya Tigo pesa
.
0659 172 401
Habari Ndugu!
Nina refund kutoka Apple store ya 4.3 million nilifanya malipo na Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata.
Proof of payment ninayo kutoka Apple, mpaka leo tigo hawaoni pesa zangu. Kila siku naenda tigo shop wananizungusha.
Hiyo pesa ni nyingi sijui...
Habari…! Nina refund kutoka apple ya 4.5 million nilifanya malipo ni Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata.. proof of payment ninayo kutoka apple, mpaka leo tigo hawaoni pesa zangu.
“ Swala lako limefikiwa wapi /kufanikiwa” 0659172401
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.