Nahitaji mtu mtaalamu wa kutengeneza website pamoja na APP awe mbobezi na mwenye uzoefu wa kutosha kama upo tayari wasiliana nami kupitia whatsapp namba 0685451700 Asante.
Haya mambo sio ya kushabikia na kulaumu! wengine kesi zakupewa tu kutokana na chuki binafisi ukiwa na amani,huru na furaha na kila mtu mshukuru sana Mungu.
Vizuri na wazo bora sana, Kuna taratibu zimewekwa na mamlaka husika fika vituo husika au kwenye halmashauli husika watakupa utaratibu kamili. Kwauelewa wangu mdogo watakuhoji kwann umeamua hivo na watataka uwahakikishie kumtunza au kuwatunza watoto na mambo mengine mhimu kama uwezo wako wakimaisha.
Wakati sisi tukila kushiba na kulala pazuri kwenye majumba mazuri kuna mtoto wa mika 7 hadi 17 analala nje ya kibalaza bila shuka wala godolo! Mimi binafsi huwa najiuza hawa Watoto wanatokaje majumbani mwao nakuja kulanda landa mtaani kwa akili ya haraka unaweza kuanza kulaumu wazazi ama walezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.