Recent content by Tanzaniayangu2020

  1. T

    Kiloleni Tabora: Katibu wa CHADEMA apigwa na Polisi na kumweka ndani bila kumwambia kosa lake

    Tabora region is under RC Aggrey Mwanri Mzee wa SUKUMA NDANI na FYEKELEA MBALI..! Je, inaqwezekana RC Mwanri na yeye anaanza kuwasukuma na kuwafyekelea mbali WAPINZANI? Naomba mwenye Tube ya RC akiongelea hii issue ya Diwani wa CHADEMA kusukumwa ndani..!!!
  2. T

    Sifa zinazomfanya Rais Magufuli aonekana tofauti na Watangulizi wake ni hizi:

    ndege JOHN, Bila shaka wewe utakuwa unaishi Tanzania ya peponi siyo hii tunayoishi Watanzania wote. Pengine huna ufahamu mzuri ya kile kinachoendelea hapa nchini na tangu Rais wako mpendwa ashike mamlaka hajakugusa wala kumgusa yeyote katika familia yako/yenu, rafiki zako. watumishi wenzako au...
  3. T

    Sifa zinazomfanya Rais Magufuli aonekana tofauti na Watangulizi wake ni hizi:

    Funguka mwanakwetu funguka! Huu utawala hata ukikaa kimya wasiojulikana watakufikia tu!
  4. T

    Sifa zinazomfanya Rais Magufuli aonekana tofauti na Watangulizi wake ni hizi:

    Umesema kweli. Siyo kichaa tu lakini pia alishawahi kutamka mbele ya hadhira maneno haya: ''...MIMI NINA FRUSTRATIONS ZANGU.." ''...MIMI SIKUOMBA URAHIS NILISUKUMISWA TU NIKAJIKUTA NI RAHIS..." ''...MIMI SIJARIBIWI..' ''...WABUNGE WA CCM MNGELI ANDAMANA NINGEPIGA MPAKA SHANGAZI ZENU...''...
  5. T

    Sifa zinazomfanya Rais Magufuli aonekana tofauti na Watangulizi wake ni hizi:

    Tuko kwenye Utawala wa awamu ya 5 chini ya Rais Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli-Bulldozer(2015-2020).Kwa hakika imekuwa ni awamu ya ajabu sana ukilinganisha na awamu zilizopita tokea kwa marhemu Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere(1), Alhaj Ally Hasani Mwinyi(2), Benjamin Mkapa(3) na JK...
  6. T

    Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

    Guys, Tatizo siyo hawa Vijana baali tatizo liko kwa Mamlaka yao ya UTEUZI ambayo ni Rais John Joseph(Pombe Magufuli). Huyu ndiye anayewapa kibri na jeuri ya kutukana, kudhalilisha na kuwaona Watu wengine si chochote.....!! Jafo hapaswi kuishia hapo lazima sasa aende hatua moja mbele ya kumwona...
  7. T

    Arusha: Godbless Lema ahojiwa kuhusu kutekwa kwa Mo Dewji na mkutano aliofanya Dar

    Kutoka watekaji RAIA WA KIZUNGU WALIOKUWA WANAONGEA LUGHA KAMA WASAUZ mpaka kugeuka kuwa LEMA WA CHADEMA! Something very terrible is coming to CHADEMA!It's bera you geri weli prepaid! Huu utawala haukupaswa uingie madarakani hata kwa sekanti imwe!
  8. T

    January Makamba,Ponder deep over your fate

    When Lissu was gunned down by the would be his .assassinators,some CCM henchmen celebrated as if it was just a CHADEMA case! But as time ticks away neither CHADEMA nor CCM member is surelyy safe any more! Reading the so called CCM numbers is equally on our shoulders!
  9. T

    Rais Magufuli lazima atambue hii nchi ikichafuka na yeye hatosalimika

    Well said Technically, Lakini ukumbuke kwamba mfumo wa Siasa za Tanzania ni kwamba TAASISI YA URAIS inaongozwa na MWENYEKITI WA CCM. Sasa kama Rais ni Mwenyekiti wa CCM unatenganishaji ADUI wa Watanzania kua ni Taasisi ya Urais na siyo CCM? ''CCM na MAGUFULI wote maji ga nyanza'' Mwl. J.K...
  10. T

    Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?

    Kama umeelewa utenzi wa Issa Shivji unatakiwa na wewe ujionee huruma!!
  11. T

    Prof. Shivji Issa: Nipo nchi gani; baharini au barani?

    Jogi, Hii ''Moooo' yako ni ya mlio wa 'Ngombe' au ni ya Mohamed Dewji(Mo)? Ninajua Mo Dewji na Prof. Issa Shivji Dewji ni Raia wa Tanzania wenye asili ya Hindiya. Bila shaka Mzee Issa Shivji aliyekuwa Prof wa UDSM na Mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere hakuwahi kuwazia au kuona matukio ya...
  12. T

    Ambao hatukubaliani na kudhalilishwa kama taifa kutokana na aibu ya kutekwa Mo Dewji na wachache wenye yao tukutane hapa.

    Tukio la kutekwa na baadaye kupatikana kwa Mo katika mazingira ya kutatanisha limeacha maswali mengi sana kwa Watz na dunia yote! Kwa tukio hili na mengine mengi ambayo yamekuwa yakitokea lakini yanamalizika katika hali za kuacha maswali yasiyo na majibu kumezidi kuifanya serikali hii ya A5...
  13. T

    Kutekwa na kuachiliwa kwa Mo ni baraka kwa Serikali ya Magufuli

    Ewe mtu nafiki usiokuwa na hofu ya Mungu acha kulisha watu MATANGOPORI!!!
Back
Top Bottom