usalama ni enzi za baba wa Taifa,siyo hawa wangoa kucha.Zamani ilikuwa mtu kabla hajaingia TISS anafanyiwa scouting kali na makini,kupima welewa wake,ujasiri wake,uzalendo wake kwa nchi,lakini kinyume na sasa watu wanaapply kwa mabwana wakubwa,matokeo yake ndo tabia za kungoa kucha...