SEHEMU YA 12
Tukiwa kwa yule mganga alinichanja chale sehemu mbalimbali za mwili wangu akanipaka dawa na kuniwiza kwamba mtu yeyote atakayekuja kunichezea asifanikiwi na uchawi wake umrudie mwenyewe.
“Wanangu, kwa kuwa nyinyi ndiyo wazazi wa huyu binti na mnaishi nyumba moja ni vizuri nanyi...
SEHEMU YA 11
Baada ya mama ambaye alikuwa mpole sana kusema mchawi huyo asamehewe kwa kuwa nilikuwa nimepona, mama mkubwa alimpinga na kusema:
“Huyo hafai kuendelea kuishi, hivi mama Dorcas kama angekuulia huyu mtoto wako wa pekee ungejisikiaje, mimi sioni kama kuna sababu ya kumuonea...
SEHEMU YA 10
Tukiwa tunashangaa, mganga alisogea na kuchukua kichwa cha jogoo kilichokuwa cheusi, mdomoni kikiwa na kitambaa chekundu na utosini kilikuwa na unyoa mrefu.
Baada ya kushika kichwa hicho, alisogea karibu yetu na kutuambia kichwa hicho na vitu vingine vilivyokuwa juu ya kile...
SEHEMU YA 09
Tukiwa pale tulimuona yule mganga ambaye tangu siku ya kwanza hakutuambia kuhusu malipo ya kazi yangu ingekuwa shilingi ngapi akiwa amemshika kuku mweusi mkono wa kusho na kulia alishika kisu.
Moja kwa moja tulijua alikuwa akienda kumchinja, kwa kuwa nilikuwa mdogo nilijua yule...
SEHEMU YA 08
Tulipofika mganga ambaye alikuwa mkarimu sana alituuliza tulikuwa tunakunywa soda gani, wote tulimshukuru na kusema tungekunywa siku nyingine.
“Hapana, lazima mnywe soda jamani, wala hazifuatwi mbali,” Dorcas anasema mganga aliwaambia kisha alimwita kijana wake ambaye alifika...
SEHEMU YA 07
Baada ya kunipa pole, nilimshukuru ndipo alituambia kwamba mara atakapoangalia na kuzungumza na watu wake angebaini chanzo cha matatizo yangu.
Kwa kuwa pale sebuleni hapakuwa sehemu aliyokuwa akifanyia uganga wake, alituambia mimi na akina mama twende kwenye chumba cha kazi...
SEHEMU YA 06
Niliwapowaambia, mama alisema alishangazwa sana na matukio ya kuumwa yaliyokuwa yakiongozana mfululizo ambayo awali sikuwa nayo.
“Unasema, hana tatizo la kupatwa na kizunguzungu?” yule daktari alimwuliza.
Kufuatia kuulizwa hivyo, mama alimweleza yule daktari kwamba sikuwa...
SEHEMU YA 05
Baada ya akina mama kufika, mama mkubwa aliniuliza nini kilinisumbua kufikia hatua ya kulia, nilimwambia kichwa, akaniuliza kilinianza saa ngapi nikawaambia.
Mama alipomuuliza daktari kuhusu matibabu, alimweleza alikwisha nipima kwa lengo la kujua kama nilikuwa na malaria...
SEHEMU YA 04
Kutokana na ukarimu aliokuwa nao mama huyo, mama alihuzunika sana alipoambiwa kwamba mumewe alikuwa amefariki dunia ndipo alimwuliza mama mkubwa kama alikuwa na watoto.
“Aliniambia kwamba ana watoto watatu, wawili wa kike na wa kiume anaitwa Evance,” mama mkubwa alimfahamisha...
SEHEMU YA 03
Nilipomwambia ndiyo, akasema baba yangu alikuwepo hivyo nisiwe na wasiwasi ipo siku nitamuona kikubwa kuomba uzima, akaniomba nisiwe namuuliza mama kila wakati habari za baba.
Baada ya mama mkubwa kutoa kauli hiyo, mama alinitazama kwa huruma akaanza kulia, mama mkubwa akaanza...
SEHEMU YA 02
Mpenzi msomaji, toleo lilipita niliishia pale mama yake Dorcas akiwa na mama yake walipokwenda Kirando Rukwa lengo la mama huyo lilikuwa kumtafuta mzazi mwenzake ambaye tangu alipompa ujauzito hawakuonana. Je, alifanikiwa? Endele mbele…
Baada ya kuwasili Kirando, tulifikia kwa...
MTUNZI: KULWA MWAIBALE
MWANZO
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni yatima niliyezaliwa peke yangu kwa wazazi wangu ambao sikubahatika kuwaona, kwa sasa naishi jijini Dar es Salaam.
Kutokana na mikasa niliyopitia maishani mwangu, sitapenda kuliweka wazi jina langu halisi...
KAMA SIJAKOMA, SITAKOMA TENA
MTUNZI: FAKI A FAKI
SEHEMU YA TATU
“Kitu gani hicho?” nikamuuliza.
“Wewe ni mtu mkubwa na ni muelewa, si lazima nikueleze kila kitu. Unaweza kugundua kitu kwa akili yako” akaniambia. Sauti yake ilikuwa tulivu sana.
“Ukiniambia hivyo unanipa mtihani, ninaweza...
BARUA TOKA KUZIMU
MTUNZI: FAKI A FAKI
SEHEMU YA 04
Tulipofika nyumbani kwa sheikh huyo tulibisha mlango na tulifunguliwa na kjana mmoja ambaye tulimuuliza kama sheikh yupo.
“Yupo” akatujibu. “Karibuni ndani”
Tuliingia ndani na kutokea sebuleni. Sheikh alikuwa ameketi upande wa kulia wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.