Recent content by Tanzania Railways Corp

  1. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Tangazo la treni maalumu kwaajili ya nanenane

  2. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania KIGOMA YAANDIKA HISTORIA: Rais Samia kuzindua Ujenzi wa SGR Tabora-Kigoma

    Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, amesema ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma ni hatua ya kimkakati itakayoiunganisha Tanzania na masoko ya ukanda wa Maziwa Makuu kupitia mtandao wa kisasa wa reli. Akizungumza na waandishi wa habari katika...
  3. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yalipa Tsh. Milioni 565.4 fidia kwa Wananchi wa Nyamori

    Shirika la Reli Tanzania (TRC), linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita Tabora–Kigoma, ambapo Julai 15, 2026 Wananchi wa Kijiji cha Nyamori kata ya ya Simbo Halmashauri ya Kigoma, wameanza kupokea stahiki zao. Jumla ya...
  4. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Pamoja na machache yanayoyesemwa, TRC imefanya kazi kubwa - Kihenzile

    Naibu Waziri wa uchukuz, Mhe. David Kihenzile, amesema Reli ya Kisasa (SGR) inaendelea kuwa kichocheo muhimu cha biashara, uchukuzi, miundombinu na ukuaji wa uchumi kwa kuwezesha usafirishaji wa abiria na mizigo kwa haraka, usalama na ufanisi. Mhe. Kihenzile, ameyasema hayo Julai 06, 2026...
  5. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TANGAZO

  6. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC inaomba radhi Kusimama kwa huduma za treni kutokana na hitilafu katika mfumo wa gridi ya umeme ya taifa

    KUSIMAMA KWA HUDUMA ZA TRENI KUTOKANA NA HITILAFU KATΙΚΑ MFUMO WA GRIDI YA UMEME YA TAIFA Dar es Salaam, Juni 27, 2026. Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria wote kwa usumbufu uliojitokeza kufuatia kusimama kwa huduma za treni za Reli ya Kisasa (SGR) kutokana na hitilafu...
  7. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania BRAVO imeshakata shauri kuwekeza Bahi, yasema mustakabali (future) uko kwenye Reli

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya uchukuzi na Lojistiki ya Bravo Group, Bi. Angelina Ngalula, akiambatana na jopo la wataalamu wake wakiwemo wahandisi na wasanifu majengo, Juni 20, 2026 amefanya ziara ya kutembelea miundombinu ya Reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kati ya Stesheni ya Magufuli...
  8. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC limeongeza treni ya Mchongoko (EMU) kwa siku ya Ijumaa Juni 12, 2026 kati ya Dodoma na Dar es Salaam

    TAARIFA KWA UMMA ONGEZEKO LA TRENI YA EMU KATI YA DODOMA NA DAR ES SALAAM Dar es Salaam, Juni 12, 2026. Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa, kufuatia ongezeko la mahitaji ya huduma ya usafiri, limeongeza treni ya Mchongoko (EMU) kwa siku ya Ijumaa Juni 12, 2026 kati ya...
  9. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yaingiza Ford Rangers zenye teknolojia ya Laser kukagua Reli ya SGR

    Ununuzi wa magari ya Ford Ranger yanayotumia teknolojia ya laser uliofanywa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) unaashiria hatua kubwa katika kuimarisha usalama wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR). Magari hayo, yaliyoboreshwa kuwa magari maalum ya Hi-Rail, yatatumika kukagua na kufuatilia reli...
  10. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yanunua magari maalumu yatakayotumika katika ukaguzi wa njia ya reli ya SGR kipande cha 1 na 2

    ======= Shirika la Reli Tanzania (TRC) limenunua magari mawili maalumu ya kisasa ili yatumike katika ukaguzi na upimaji wa reli mpya ya mwendokasi (SGR) kwa upande wa kipande cha kwanza na cha pili (Lot 1 & Lot 2). Magari hayo yana uwezo wa kipekee wa kutembea juu ya reli kwa kutumia...
  11. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Hekari 25 zafungua njia ujenzi wa kambi ya mkandarasi kipande cha saba

    Wananchi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wajitokeza kushiriki zoezi la utwaaji wa ardhi ili kupisha ujenzi wa kambi ya mkandarasi Mradi wa Kimkakati wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha saba kutoka Uvinza hadi Malagarasi. Zoezi hilo ambalo limesimamiwa na timu kutoka Shirika la Reli Tanzania...
  12. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC: Video ya SGR inayosambaa ikitoa mlio usio wa kawaida, siyo ya kweli ni uzushi

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa, picha mjongeo (video) inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai Kichwa cha treni ya SGR kikiwa kinatoa mlio usio wa kawaida siyo ya kweli ni uzushi. Baada ya kufuatilia kwa makini, Shirika linathibitisha kuwa treni zote za SGR...
  13. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Maoni ya abiria na wananchi kufuatia TRC kuongeza safari za treni za SGR kati ya DSM-Morogoro

    Siku moja baada ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), kutangaza kuongeza safari za treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Morogoro, kutoka mbili mpaka nne, baadhi ya abiria na wananchi wamezungumzia na kuonyesha mapokezi yao kuhusiana na hatua hiyo ya TRC. Wakizungumza kwa nyakati tofauti Jijini...
  14. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Ratiba mpya ya treni za SGR Dar es Salaam - Morogoro, kuanzia Aprili 18, 2026

  15. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Kukata tiketi za SGR kumerahisishwa zaidi

Back
Top Bottom