Recent content by Tanzania-Nyumbani

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za ajira mpya JWTZ 2026

    Tatizo hata ukikubaliwa maombi, ni Mpaka uwe na nauli ya kusafiri mpaka huko. Bado ni taabu tupu !
  2. T

  3. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Nawasalimu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Wakuu bado ninawaomba mnipe fursa, nina uhitaji nayo sana.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Asante mkuu TheCrocodile , nitatekeleza.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Bado sijapata kazi, ninaomba mnipe fursa nikapambane.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Ninaomba unisaidie kazi mkuu.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Nimefanya kwa makusudi maana nisingelifanya hivyo hata wewe usingelisoma, nisaidieni mnipe kazi tuu.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Sawa mkuu, ninaomba uniombee.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Bado sijapata mrejesho ndugu, ninaombeni kazi.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Wakuu ninatafuta kazi, msaada tafadhali.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Ninawasalimu wote, hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu zuri sana la Tanzania. Ninatangaza mtafutaji wa kazi ambaye ni mimi mwenyewe, ninaishi Gongo la mboto mkoani Dar es salaam Elimu yangu ni kidato cha sita. Kazi ikiwa maeneo ya Chanika, Kisarawe, Pugu, Gongo la mboto, Mbagala...
Back
Top Bottom