Kama mtu ni mfatiliaji Kwasiku za karibuni ni kwamba mgombea wa ccm Magufuli amepoteza mvuto na haongelewi sana bali maongezi yamekuwa Lowasa, Slaa, Ukawa na Chadema,
Lakini hii Hali imetokana na wanaccm wamejisahau kumnadi mgombea wao na kuingia katika mtego wa ukawa wa kumuongelea Dr slaa...
Wakati wao wanataka kutufunga goli la mkono..ukawa tumeamua kumnunua kipa wao kabisa Lowasa..sasaivi goli la ccm lipo wazi..kila tukipiga shuti golini linapita moja kwa moja 😂😂😂😂😂😂:biggrin::loco:
Miaka kama 2 au 3, niliwahi udhuria ibada moja kwa kanisani kwa mchungaji Gwajima ufufuo na Uzima na alisema maneno haya kwamba "CCM wasipokuwa makini wanaweza anguka na kusambaratika 2015, na anaiona CCM ikianguka kwahiyo watu wasafi waliomo ndani waanze fanya maamuzi sahihi na kuwa upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.