Recent content by Tanzan

  1. T

    JamiiForums Tanzania Apartment ya kisasa inapangishwa

    Hakuna kabisa malipo ya udalali. Hutadaiwa hata sh 100 ya udalali. Karibuni
  2. T

    JamiiForums Tanzania Apartment ya kisasa inapangishwa

    Wakuu nashukuru mmemjibu wenyewe huyo aliyeeneza uongo wa laki 2. Ameona hoja zenu hadi amekimbia. Huu ndiyo uwazi na ukweli.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Apartment ya kisasa inapangishwa

    Mkuu bora upangishe hiyo yako ya bei hiyo. Jifunze kuwa kunyamaza kwa kitu usichokijua pia ni akili.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Apartment ya kisasa inapangishwa

    Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room, kitchen, store, balcony ya mbele na ya nyuma. Kuna parking ya magari yenye usalama, CCTV camera, ulinzi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania House4Rent Apartment inapangishwa Magomeni -Usalama

    Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room, kitchen, store, balcony ya mbele na ya nyuma. Kuna parking ya magari yenye usalama, CCTV camera, ulinzi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania House4Rent Apartment mpya inapangishwa kwa bei nzuri Magomeni- Usalama.

    Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room, kitchen, store, balcony ya mbele na ya nyuma. Kuna parking ya magari yenye usalama, CCTV camera...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mayai ya kienyeji jamani

    Mayai ya kienyeji pia yanapatikana kupitia namba hii 0689771087.Bei ni 15,000 kwa tray moja na ukinunua kuanziaTray 3 kuendelea bei ni 12,000 tu tuunaweza kupanga ukaletewa ulipo Dar es Salaam. Karibuni
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Nyumba ya kisasa na yenye finishings ya hali ya juu inapangishwa Changanyikeni Mbuyuni, karibu na hostel ya Jesus Village. Ni KM 1.5 kutoka Chuo Kikuu cha Dsm na pungufu ya KM 1 kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi. Ni umbali wa kutembea kwa miguu kwenda vyuo hivyo au Mlimani City. Nyumba ni ya vyumba 3...
  9. T

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya kisasa Inapangishwa bei nzuri Changanyikeni

    Nyumba ipo na itakuwa tayari kwa kuishi kuanzia tarehe 1 Feb. Karibuni sana
  10. T

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inatafutwa kinondoni

    Heri ya mwaka mpya. Ninayo Changanyikeni, mbuyuni, katikati ya UDSM na Chuo Kikuu cha Ardhi. Ni nzuri sana. Kama bado unahitaji nikuonyeshe picha zake. asante
  11. T

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya kisasa Inapangishwa bei nzuri Changanyikeni

    Asante Kodofan kwa compliment yako kwa kuipenda nyumba
  12. T

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya kisasa Inapangishwa bei nzuri Changanyikeni

    Picha za nyumba zimewekwa
  13. T

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya kisasa Inapangishwa bei nzuri Changanyikeni

    Ndiyo Option, ni kulingana na nyumba yenyewe na eneo lilipo. Unakaribishwa mdau
  14. T

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya kisasa Inapangishwa bei nzuri Changanyikeni

    Ndugu Pohamba, ni mjini hapa na kuna nyumba zingine zenye wapangaji katika compund hiyo. Eneo lote limezungushiwa fence, geti na lina mlinzi. Karibuni
  15. T

Back
Top Bottom