House4Rent Nyumba ya kisasa Inapangishwa bei nzuri Changanyikeni

Tanzan

Member
Aug 19, 2014
40
95
Nyumba ya kisasa na yenye finishings ya hali ya juu inapangishwa Changanyikeni Mbuyuni, karibu na hostel ya Jesus Village. Ni KM 1.5 kutoka Chuo Kikuu cha Dsm na pungufu ya KM 1 kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi. Ni umbali wa kutembea kwa miguu kwenda vyuo hivyo au Mlimani City. Nyumba ni ya vyumba 3 vya kulala, kati ya hivyo 2 ni Self contained (masters), Ina sebule kubwa, Dining, foyer na jiko. Ina common toilet na bathroom zilizotenganishwa Pia ina vyoo viwili vya nje na reserve ya maji ya Lt 3000. Nyumba ina eneo kubwa la wazi la kutosha kupaki zaidi ya magari 5 na ina fence na geti. Kodi yake ni 500, 000/= na inalipwa kwa miezi 6. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana kupitia namba hii 0689 771087. Mnakaribishwa
 

Attachments

Tanzan

Member
Aug 19, 2014
40
95
Ndugu Pohamba, ni mjini hapa na kuna nyumba zingine zenye wapangaji katika compund hiyo. Eneo lote limezungushiwa fence, geti na lina mlinzi. Karibuni
 

Tanzan

Member
Aug 19, 2014
40
95
Ndugu Pohamba, ni mjini hapa na kuna nyumba zingine zenye wapangaji katika compund hiyo. Eneo lote limezungushiwa fence, geti na lina mlinzi. Karibuni
 

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
8,541
2,000
Hivi 500k ni bei nzuri?
Wale wapigaji waliotumbuliwa na kuzoea kukodisha majumba yao kwa bei ghali wanafhani asaiv kuna mtu anaweza hiyo bei.

Mikocheni zipo kibao za bei hiyo mtu aende CHANGANYIKENI,tafsiri tu hilo jina tu,ujue maana ya changanyikeni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom