Down Low ni mwanaume ambaye ni bisexual ambaye hufanya mapenzi na jinsia zote , ya kike na kiume , ila ile ya kiume hufanya kwa siri sana. Ikumbukwe kuna homosexual na bisexual.
Homosexual anaweza kuwa msiri na anaweza kuwa na mke wa kuzugia , ila utakuta hamfanyi chochote huyo mke na...
Ukitaka fupisha mlolongo wa kukaa darasani inakuwa hivi
Certificate ->Diploma ->Advance Diploma-> Masters Degree.
Kwake naona Advance Diploma ina miss ila inawezekana Mfumo unaruhusu kama vile kuwa na Associate Degree halafu kufanya mastres .
Tunavyo amini ni hivyo sababu kama kunge kuwa sivyo basi kungesha kuwepo na rehab ya kuondoa ushoga lakini hakuna sababu ni uhalisia wa mtu wa kuzaliwa nao , hivyo ni kweli wengi huzaliwa na hali hiyo na hawakuwahi bakwa .
Mara zote sexuality ya mtu haibadiliki kwa kuiga yule anaye knekana...
Mtu kama ni shoga ni kazaliwa hivyo huwezi mbadilisha wako ambao hufanya vitendo vya kishoga na sio mashoga hao ndio huweza badilika sababu hufanya kwa kujioatia kitu na pia wako ambao wao huweza tembea na jinsia ya kike na ya kiume hao pia huweza jizuia kuacha kufanya ushoga na kubaki na...
Sexuality huwa haiigwi wala haibadilishwi , hao walio bakwa hawawezi kuwa mashoga ila wanafanya vitendo vya kishoga , sababu ya maisha .. Gays ni wamezaliwa na sexuality hiyo.
Labda ungechunguza kwanza nini kimemfanya mwanao kufanya vitendo hivyo je kalazimishwa, kapenda mwenyewe au ni hali ya uchumi nikiwa na maana ya tamaa ya pesa?
Ninavho ona ni kuna uwezekano mtoto ni kazaliwa hivyo .Shoga anaye weza kuacha ushoga ni yule tuu anaye fanya kwa tamaa ya pesa kwa...
Uuuuwiiiii jamani baada ya kuchomwa sindano ya dozi ya antibiotic kwa siku tano na dawa kusha nguvu , nikasema sisikii harufu hata ya choo na mdomo haunuki , saa jamani nime patwa na kikwapa hatari yani kina tema balaa na nisioo piga mswaki ni balaa, jamani nimechokoza nini huko tumboni ? Hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.