Nilikaa nikaona halotel internet yao iko fasta sana nikasema hii itanifaa maan ukifungua kitu chocht hukai kusubir ni hapo hapo ishafungua... Nikaona saf nikaweka 10000 nikajiunga bando la mwez Gb 10 na madkk ya kutosha,,,, siku ya kwnz nmetumia ya pili nikajikuta nina Gb 2 kesho yake empty sina...