Nyie ndio wambea,huna namna ya kumstahi mwenzio?? amekataa usioneshe baadhi ya mazingira ya hapo nyumbani kwao(jengo)Kwa nini ulazimishe,unakomaa na picha,subiri zamu yako,msiba wa kwenu ndo utaruhusu picha aina zote.!,tafta namna nzuri ya kupiga picha,waombolezaji waonekane basi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.