Recent content by Tangu1977

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ninapendwa na mbu

    Mbu hufuata harufu ya mwanadamu ,hata jasho pia
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hapa Wapi Wajameni

    Ugonile mwanafyale
  3. T

    JamiiForums Tanzania A day in the Buddhist college

    Jipya kwangu aisee! Nakuomba ukipost unitag ,ukiendelea ,nimeguswa kufahamu mengi.
  4. T

    JamiiForums Tanzania A day in the Buddhist college

    Mshana jr,hii habari ina sisimua ,navuta picha nakosa majibu!,napata maswali yanayeyuka, Swali la kwanza,uhusiano wa mabudha na ushetani upoje?
  5. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Tanesco wapo humu?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Throwback Thursday: Juma Nature, mkali wa hizi kazi

    Mtoto Idi, Yaleo kali, Tunafanya kazi alishirikishwa na mkenya, Nakumbuka Tosamaganga kuna jamaa mwaka 2003 ,alikuwa amepewa jina la Nature aliimba kama yeye
  7. T

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Jaribu kufanya maombi ya kufunga,ukijinyima mambo ambayo wewe unayapenda huku ukimtafakari Yesu ,kwa njia hii,badilisha aina ya simu ,tumia simu isiyo na mtandao wakati wako wote wa maombi,weka nia ya kusoma biblia wakati wote wa upweke ,mwisho katika maombi yako omba toba kwa kurudia dhambi...
Back
Top Bottom