Makamanda Shalom!
Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama kimechafuka kwa kiasi kikubwa.
Makamanda mna maoni gani huyu jamaa mbona hatupishi?
Za Uzito mdogo wengi wanaongea katika mahakama za Wilaya so wanaongea wenyewe bila wakili. Sema mahakama za wilaya huwa zinawaachia matobo mengi sana hapo akienda Rufaa high court anatemwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.