.......Tunalo ndugu wananchi....Sita ni mnafiki mkubwa hana chochote,angalia issue ya richmond pale pungeni alikwenda vizuri but mwisho akanywea baada ya kupewa ahadi ya uwaziri......so tusitarajia peoples driven constitution kutoka kwa huyu MNAFIKI....njama yote ya kuvuruga maoni ya wananchi...
......wanaodhani CCM wana nia zuri na mchakato huu wamedanganyika,najiuliza hakuna mwanasiasa wa upinzani ambaye anaweza kung'amua haya! na kusimamia maoni ya wananchi yaheshimiwe?....ona vyama vyote vya upizani kimya!...eti maridhiano!...jamani katiba mpya yaani peoples driven constitution and...
....ndiyo irudi tena haraka sana..........kwa hili niko tayari kufa au kuondoa vizuizi......hapana kubebeleza hapa tutumieni hata nguvu,hatutaki muungano huu wa kijinga....zanzibar wanatufanya mabuzi.....
.....TBC I ilikuwa kipndi cha Tido Mhando,sijui nani anaendesha chombo cha habari cha umma vile!.....hawajui wananchi tunataka kusikia kila upande...sasa wao magamba tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu...Tido alikuwa anatoa equal opputunities kwa wote....sikio la kufa...............pia nimeskia...
.....Zanzibar ni corridor ya kupokea na kutoroshea mali kutoka katika ukanda wote huu, mfano hivi majuzi tu si mmesikia pembe za ndovu zimekamatwa,je magogo?...sb ni kuwa Zanzibar haina sheria kupinga maovu hayo....ni hivi majuzi ndo wamefanya geresha.....lakini zenj inausika sana,pia watawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.