Recent content by Tanganyika Kwetu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Tundu Lissu atoswa rasmi

    Usitujazie nzi hapa. Sioni chochote cha kukufanya uruke na kijithread ambacho hakina hata mashiko
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

    Nini kimekufanya ujitambulishe kuwa huna hata chembe ya hekima na busara kumtukana Babu yako. Njo na hoja tulivu inayojieleza yenyewe bila kuegemea kwenye matusi ya aina hiyo. Mwenye hekima na busara huwa mtulivu na hujieleza kwa ufasaha kwa maneno machache.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

    Kama huna hoja nawe unyamazage. Wenye akili zao wasije tambua idadi ya ujinga na mauwongo uliyoyabeba
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Siku hizi ukimwaga mboga hatumwagi ugali, tunatafuta mboga nyingine

    Wakati mwingine uk Mara nyingi usipende kumsikiliza mwenye akili ndogo kwani anaweza kuhisi unamwona wa maana. Just Ignore and move ahead with your business.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

    kazi kubwa ya Mbunge wako ni kuwawakilisheni Bungeni siyo Utarura au Utanroad.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumepewa uhuru kutokea vijiwe vya kahawa, hatuwezi kuwa sawa na walioupigania kutoka msituni

    Nimekusoma. Nimekuelewa, lakini mosi usimhusishe Mungu katika fikra za kibnadamu, pili ukome kutuita mazoba (pamoja na wewe). Kwa fikra zangu (kwa sababu naamini katika uhuru wa kutoa maoni yako), kosa kubwa kwetu nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania, ni kukubali kuitwa maskini wakati sisi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafakari na kutambua CHADEMA imejaa vichwa

    Wewe ndani ya kichwa chako na moyoni mwako kumefurika uozo unaonuka afadhali ya dampo. Hawa watu waliteswa sana lakini bado hawakukata tamaa na hata hawazumgumzii machungu yaliyopita, wanasonga mbele. CHADEMA asanteni kwa kutoa funzo la aina yake. Mmesamehe yote na mnasonga mbele na kukubali...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Lema afurahi kukutana na Halima Mdee na Esther Bulaya, awatabiria makubwa katika kujenga Demokrasia nchini!

    Natamani kuiona CHADEMA ikiwa na timu nzima ya kazi wakiwemo Halima Mdee na wenzake wote. Jamani , Halima na wenzako kuweni wajasiri yaishe. Jipangeni, fungeni safari kwa Baraza la udhamini la CHADEMA, Kamati Kuu ya CHADEMA na Wananchi wa Tanzania, mkaseme Tumekosa, Tumekosa, Tumekosa sana...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Sioni tatizo lolote Rais kuhutubia baraza la Eid, mbona anahutubia kila anakowakilisha nchi. Ondokana na fikra kandamizi.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Jumamosi nayo ni siku kama ilivyo Ijumaa.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata mwenyekiti mpya CHADEMA unahitajika

    Tunaweza kukutoa shamab tukafanikiwa kukufikisha mjini, lakini kukutoa ushamba tukashindwa. Chama siyo Mwenyekiti, chama ni wanachama.
  12. T

    JamiiForums Tanzania 2030 Vijana chagueni Rais mwenye umri wa miaka 40 Ili atengeze Serikali ya Vijana siyo Wazee atakaowaamkia!

    Kwanza, na declare interest, mimi ni kijana wa miaka 32. Lakini, hizi fikra za Serikali ya vijana au wazee nayo fikra dhaifu, potofu, baguzi, kaburu na kandamizi. Tuangalie uwezo wa kuchangia maendeleo kwa wote Tanzania. Mwl. Nyerere alikuwa na mchango mzuri sana kwa Tanzania na hata kwa dunia...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni bora umoja wa ukabila kuliko utengano wa ujumla

    Haki kwa wote, kudumisha amani, demokrasia, heshima kwa utu na binadamu wote, umoja na mshikamano wa ki-Taifa,
Back
Top Bottom