Recent content by TANGANYIKA HURU

  1. T

    Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

    cha ajabu ni kwamba sisi haturuhusiwa kushiriki kwao. Watanganyika tukinunua ardhi kwao tunakuwa kama tumenunua nchi jirani. Lakini wao kununua Tanganyika ruksa. ASIYE ZIBA UFA ATAJENGA UKUTA. TANGANYIKA HURU
  2. T

    Swali: Kwanini CHADEMA hawaipendi Zanzibar

    kwahiyo unapenda kuona Zanzibar ikipewa wakati Watanganyika hawapati? Udugu gani huo? Unakili ubaguzi? Watanganyika hawana haki? Kosa la Cdm ni kutetea usawa? Hakika mmezoeshwa vibaya. TANGANYIKA HURU
  3. T

    Mh Tundu Lissu kutohudhuria sherehe za Muungano

    Nikweli kabisa kwamba "hata kama hataki, muungano upo" Tunachotaka sisi ni kuwa na Zanzibar iliyopo, na Kuilejesha Tanganyika iliyotafunwa kwa maslahi Ya Zanzibar. ALAFU KUWE NA MUUNGANO WENYE TIJA KWA PANDE ZOTE NA SI KUITAFUNA NCHI FULANI. TANGANYIKA HURU
  4. T

    Mh Tundu Lissu kutohudhuria sherehe za Muungano

    Haswaaa, Hatuwezi kuitafuna nchi moja (TANGANYIKA) Kwa maslahi ya nchi nyingne. TANGANYIKA HURU INATAFUTWA KWA HAMU.
  5. T

    Mh Tundu Lissu kutohudhuria sherehe za Muungano

    Mmetubagua sana leo hii mnatushtumu sisi tena? Tanganyika huru ni lazima tuipate, ENZI ZA UKOLONI ZISHAPITA.
  6. T

    Inasikitisha kuona CHADEMA wanawachangisha watu hela Iringa wakati wanapewa hela ya Ruzuku

    Ni bora wanaochangiwa mapato kwaajili ya kukombolewa kifikra,kisiasa,n.k. Kuliko wanaopora vyanzo vya mapato na kutukandamiza kifikra,kiuchumi,kisiasa,n.k Wakoloni walipora rasilimali zetu na kuwasomesha baadhi ya waTZ kama vile watoto wa Machief waliokuwa upande wao, kama leo hii Wakoloni...
Back
Top Bottom