Recent content by TANDAHIMBA HOME

  1. T

    JamiiForums Tanzania Bora nusu shari kuliko shari kamili, zomezomea ya UKAWA yaitisha CCM

    mbona ciku ya kuapishwa walijaa tena mpaka ikawa hamna pa kukaa na hakuna aliyezomea ukiandika andika vitu vya maana na co kila unalo waza pia ingekuwa hiyo sherehe amefuta lowasa ungesemaje?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Basi gani zuri la kwenda Lushoto mkoa wa Tanga?

    kaka ukifika huko nishtue mwenyewe nimechaguliwa hukohuko 0653616789 ili unipe utaratibu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Majini yanaona zaidi kuliko manabii wa leo?

    mtikila
  4. T

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    kwani uongo si amesema mwenyewe me nimeona kwenye taarifa ya habari asbh
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Wakenya na Watanzania

    shirika la ndege la kenya mwezi uliopita lilitangaza kuwa halina kitu na limefirisika madaktari kugoma kenya wauguzi kugoma kenya ila hamyasemi hayo weka ushahidi mezani ndo tuendelee:twitch:
  6. T

    JamiiForums Tanzania Angalia unafiki wa Profesa Lipumba

    Huwezi kuivuka bahari kwa kuogelea na mtembea peku hapendi ila hana viatu na aliyekamatwa na nyama si ndio mwizi was kuku
  7. T

    JamiiForums Tanzania SWALI; LINI TAMISEMI MTATOA SELECTION YA KWENDA FORM5?wa

    ww mwaka jana zilitolewa mwezi wa 9 so bado sana na mpaka wakuu wa shule wapeleke idadi ya watu ambao hawajaripoti ndo ninyi mkajaze hizo nafasi wazi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    kwao ndio ni shujaa maana niki kasema now anapokea mil.2 kila mwezi toka tigo kwa ajili ya miito ya simu wakati mwanzo alikuwa hapati so kama akichukua voda zantel na airtel kibaya kwako kizuri kwa mwenzako
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    jamani wao ndo wamemwalika
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    ww umeambiwa muungano wa wasanii ndo umemwalika kikwete na niki wa pili ametoka kusoma risala na kkabidhi kikwete picha ya ushujaa
  11. T

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    Huyo nyoka ni hatari ana sumu kali sana
Back
Top Bottom