Kinga ya ndui ni kuwachoma sindano kuku wenye umri wa wiki saba.
Kumbuka ndui huanza kuwaatack vifaranga vifikishapo siku ya tano tangu kutotolewa
Kwa maana nyingine hiyo kinga ni vioja tu
Ugongwa wa ndui umekua kikwazo kikubwa kwa wafugaji kuku wa kienyeji.
Sasa naweza kutibu kuku wangu wenye ugonjwa huo, hii ni baada ya utafiti wa mda mwingi kidogo.
Ni dawa ya kupaka. Baada ya siku tatu ugonjwa hupotea.
Naweza kukuuzia pia.
Dawa ya kutosheleza kuku 100 kwa tshs 10, 000 tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.