Recent content by TAMUCHUNGU

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    bado mambo ni yale yale mkuu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

    duh huyo jamaa kweli hayajui maji ya kudowlnload maana hayo ndo ya ukweli mkuu bila hata MB unayapata
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

    wewe ni matak... kweli sa kwa taarifa yako mimi sitegemei mkopo boya wewe ningekua nategemea mkopo nisingeripoti chuo kisew... wewe. shame on you idiot.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

    Yani mkuu huku simple tu kama unajua kutumia hela vizuri aise unaishi bila wasi wasi.wali maharage mia saba tu nakula mpaka nakibakisha then naomba mfuko anifungie uliobaki naumalizia usiku maisha yanaenda.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Tulioripoti chuo hali si shwari jamani

    mkopo sijapata jomba ila nimejiongeza mimi mwenyewe tu ndo tupo tunafanya registration hapa ya hamna story zingine za wanafunzi hapa chuoni zaidi ya story za bodi ya mkopo na kuhusu kukesha baa na uzinzi mkuu sinaga hizo mambo aise situmii kilevi cha aina yoyote jomba.NAMWOGOPA MUNGU.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni zipi taratibu za kubadili kozi chuoni?

    TUMAINI MBEYA mkuu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ni zipi taratibu za kubadili kozi chuoni?

    typing error mkuu [course]
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni zipi taratibu za kubadili kozi chuoni?

    Habari wadau. Hivi inawezekana kubadili coarse chuoni ukaenda coarse nyingine maana mimi nilimwachia mtu akanifanyia application then nikawa nimeenda JKT sasa nataka nikabadili nisome BAED badala ya BED ambayo ndo nimechaguliwa. Anayejua taratibu zinakuwaga vipi anielekeze
Back
Top Bottom