Mkuu mm naitaji kwa matumizi ya ofisini kwa uzoefu wako ni aina gan ya printer itafaa na aina ipi ya computer itafaa ushauri wako nipe na bei ya kila kimoja tufanye biashara.
Habari zenu wakuu, ninashida wakuu,
Inanitatiza bado sijapata suluhisho mpaka mda huu na jambo lenyewe nakaribia kulifanya. Bila ya kuwachosha nianze na jambo langu ninalotaka msaada.
Ninataka kujiajiri katika kitu fulani lakini mpaka mda huu sijajua nafanya kwa utaratibu gani tupo wawili ila...
Asante mkuu unavyosema ni kweli mana niliulizia kwa mafundi watatu tofauti tofauti bei zao 450,000/ 500,000/ wanacheza umo wengine wanasema hakipatikani ila mm nikipata mtu mwenye tv kama hii ni mbovu aniuzie kioo
Habari zenu wakuu naomba msaada mwenye kuuza kioo au tv yake mbovu lakin kioo kizima aniuzie kioo chake yaani roho inaniuma sana nikiangalia tu yangu haijavikisha wiki 1 kioo kimepasuka niliagizia kutoka Zanzibar tv yenyewe aina ya Toshiba inch 46 lcd
Kama unaweza kunisaidia kwa hili nicheki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.