Recent content by Tamilway

  1. Tamilway

    JamiiForums Tanzania CCM na demokrasia mpya ya kuchukua fomu na kujitoa dakika za mwisho

    Lowasa alikuwa Mgombea pekee aliyejaza kugombea urais Chadema,baada ya wanachama wengine kushindwa kujitokeza,sasa demokrasia gani mnataka wakati vikao husika viliiyishwa na kufanya uamuzi?
  2. Tamilway

    JamiiForums Tanzania Baada ya Salva kuondoka Ikulu, Premi Kibanga naye afungishwa virago!

    Hasa yule shapeless Angel Akilimali alimtukana sana Tambwe Hiza ambaye alikuwa hagombei lolote,kama wanateuliwa Kwa kutukana watu
  3. Tamilway

    JamiiForums Tanzania UKAWA wanahitaji kura ngapi watoe Spika wa Bunge?

    Msrmakweli Kwa nini ukawa wawanunue wabunge WA CCM?,kwani wao hawawezi kufikiri,?
  4. Tamilway

    JamiiForums Tanzania Wana CCM na wana UKAWA tulieni tujenge Tanzania yetu

    Munao toa sifa Kwa rais Kwa wiki moja ya ikulu wakati hats serikali haijaundwa ,mnanisikitisha sana ,hebu mpeni nafasi afanye kwanza hivyo mnaalika watu WA kumcrash Kwa kila ambalo watakuwa hawakubaliani nalo wao kama mwanakijiji alivyokuwa against serikali ya Kikwete na Lowasa,halafu hizi...
  5. Tamilway

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Katibu mkuu wa CHADEMA awe Benson Kigaila

    Haraka ya nini? Mwacheni kamanda MKUU Mbowe atafakari Kwa kina yaliyotokea katika uchaguzi kwanza,hayo mengine yatafuata polepole
Back
Top Bottom