Recent content by Tamil tigers

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kama una Ndugu au Mpenzi anafanya Biashara ya Magendo ya Mkaa Mlandizi na Kibaha mwambie aache kwani Askari Maliasili wa huko sasa hawatanii

    Hiyo operation ifanyike nchi nzima misitu yetu inaisha sababu ya watu wachache wasiotaka kufuata utaratibu,biashara ya mkaa haikatazwi ila fuata utaratibu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unganisha idara zote za uhifadhi

    Napenda kushauri Mh Rais avunje idara ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira katika Halmashauri maana haina tija yoyote na watumishi wa idara hii wahamishiwe sehemu nyingine kama TFS, TAWA, TANAPA kila mtu kwa taaluma yake. Kwenye Halmashauri hizi maafisa hawa wamekuwa watoza ushuru na hawafanya...
Back
Top Bottom