Recent content by tambani

  1. T

    Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani Dar

    Barabara ya bwawani nakalekwa unaingilia wap? Nataka nijue
  2. T

    Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani Dar

    Hii barabara ya kwembe kisopwa unaingilia wap
  3. T

    KERO Ujenzi wa Barabara ya Mwendo Kasi Tegeta Hadi Mwenge Sasa Imekuwa Kero kwa Wananchi Walio jirani na Mradi Huo

    Sijaelewa bado. Anaziba vip njia za malazi wakata mkandarasi anashughulika na barabara ya katikati pekee na sio barabara za pembeni. Fafanua vizuri
  4. T

    Ninahitaji kiwanja maeneo ya Mwananyamala, Kinondoni na Makumbusho ofa milioni 20

    Habari wadau . Nimefanikiwa kukopa pesa bank hivyo nahitaji kiwanja kilichokuwq mjini maeneo ya mwanayamala, kinondoni na makumbusho. Ikishindikana kabisa nipate hata maeneo ya kawe
  5. T

    Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

    Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
  6. T

    Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Ila nyamagana Ina maghorofa ya kisasa na pia Kuna mzunguko wa watu wengi na biashara ipo
  7. T

    Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Ila nyamagana Ina maghorofa ya kisasa pia Ina mzunguko wa watu wengi Sana mjini. Pia biashara Imechangamka
  8. T

    Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
  9. T

    Natafuta kiwanja maeneo ya Geza Ulole, Kibada na Mwongozo Kigamboni

    Habar wadau , natafuta kiwanja maeneo ya geza ulole, kibada n mwongozo ofa yangu ni milioni 2. Kam Kuna mtu ana kiwanja maeneo hayo naomba tuwasiliane
  10. T

    Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

    Rashes ambazo zilizokutokea ni za aina gan? Na zilizitokeq maeneo gani . Yule elimu tufahamu
  11. T

    Msaada: Mwili unawasha

    Mkuu ulipona muwasho? Huo muwasho uliambatano na upele?
  12. T

    KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Nakopa kama mtumishi kupitia mfumo wa Ess
  13. T

    Nimeenda benki ya NMB kukopa fedha, naambiwa mkopo wangu umekataliwa kwa vile nina mkopo wa Timiza kampuni ya Simu ya Airtel

    Habari wadau. Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki. Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi...
  14. T

    KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Habari. Mrejesho wa suala lako ukoje. Je umechukua hatua gani mpka Sasa. Vip umefanikiwa ku clear Hy high risk. Na Mimi yamenikuta nimeenda kukopa bank naaambiwa nadaiwa. Nahitaji kujua nifanyaje
Back
Top Bottom