Hongera kwa andiko zuri sana kuhusu tuhuma ambazo zimetolewa na mlezi wa Azam Fc kuhusu mwenendo usiofaa wa ligi yetu.Umeeleza kushangazwa kwa nini mpaka sasa TFF au bosi ya ligi hawajamuita kwa mahojiano ndugu Jamal Bakhresa.
Jamal Bakhresa hawezi kufunguliwa mashtaka na kamati za TFF kwa...
Simba walifanyiwa fujo na waakandika barua rasmi ya malalamuko kwenda bodi ya ligi kuhusu kilicho tokeo na Nia yao ya kutokucheza baada ya kufanyiwa fujo.
Kwa mujibh wa barua ya kuahirisha mechi kutoka bodi ya ligi walisema walipata barua kutoka kwa Kamishina wa mchezo na Afisa usalama wa mchezo...
Unajua umuhimu wa kyfanya mazoezi kwenye uwanja husika wa mechi ? Una elimu yoyote kuhusu michezo au una andika kwa hisia za kishabiki tu.Wachezaji wa Simba ambao walifanyiwa fujo kuanzia saa Moja mpaka saa tatu na nusu walikuwa kwenye Hali ipi kisaikolojia ?
Kwa Nini turuhusu waapuzi ambao...
Andika hapa kanuni hiyo ambayo imekinzana na kanuni ya 34 ambayo bodi ya ligi wameitumia kuahirisha mchezo huo.Yani una andika maneno matupu bila kanuni daaah alafu una sema kanuni imevunjwa.PLZ USIJADILI KAMA HAUJUI KANUNI AU HAUJA WAHI KUSOMA HIZO ZA LIGI.
Acha kuweka hisia bila kuweka kanuni kama ni kosa !!! Mechi iliahairishwa kwa kufata kanuni ya 34 mchezo wowote ambayo una hairishwa kwa kanuni ya 34 kifungu kuanzia Cha moja mpaka tatu itapangiwa tarehe nyingine.
Sasa mchezo wowote ambao upangiwa tarehe nyingine Huwa una subiri kupatikana kwa...
Acha kuonuesha ujinga wako hadharani, Simba Ina wachezaji wengi wa kawaida ila wachezaji wenye uwezo kama Mayele na ChamHii nchi ina ushabiki wa kijinga sana.
Acha kuonyesha ujinga wako hadharani !!! Usiandike taka taka ukafikiri una andikia wajinga wenzio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.