we ulietoa vifungu vya biblia hapo juu muogope Mungu.
Katika mistar uliyotoa hapo Mungu anazungumza juu ya mamlaka, Lowasa ana mamlaka gani kwq watz, bukuku anasema Lowasa anatawala kwa amani, je anatawala wapi? nadhani Bukuku hajawa makini ktk hili, Lowasa ni mbunge ktk jimbo fulani hivyo yeye...
we BGG nadhani ww ni mgeni na Tanzania jinsi ili na uvivu wa haki za watu, hivi ulishawahi kujiuliza kama watu hawa(waganda) walipata wapi kibali cha kuanzisha chuo? je aliyewapa hicho kibali hajui taratibu? kama hajui icho cheo/dhamana kaipataje na kama anajua kwanini asihakiki usajili wa chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.