Salaam wana JF najitokeza hapa kutafuta mwanamke awe MNENE, MKRISTO anayeishi kati ya DAR, MOSHI au ARUSHA mwenye umri kuanzia miaka 36,angalau awe na DIPLOMA kwa sasa mi naishi Dar japo ninasafiri sana kati ya DAR-MOSHI na ARUSHA. Akiwa na watoto wasizidi wawili maana nami nina mtoto pia, awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.