Recent content by Taleban

  1. T

    Nina mil 8 nataka gari lenye hari nzuri

    Kwa uimara Honda Airwave ni imara sana kwa wanaojua wanasema ni zaidi ya toyota, ikiwa barabarani inatulia kabisa yaani una drive na kurelax. Spear zake ni nyingi tu kwa sasa ikiwa mpya au used hazina tabu na cost ni za kawaida tu. Mimi toka niagize mpk leo sijawahi kubadilisha chochote zaidi ya...
  2. T

    Nina mil 8 nataka gari lenye hari nzuri

    Karibu ninayo Honda Airwave namba Cuw. Cc 1490 iko ktk hali nzuri kabisa. Tuwasiliane 0715800888
  3. T

    Nina gari nataka kubadilishana na kiwanja

    Hatuko katika somo la swahili.
  4. T

    Nina gari nataka kubadilishana na kiwanja

    Ni sawa tu kama uko tiyari bei yake ni 8.5 Million
  5. T

    Nina gari nataka kubadilishana na kiwanja

    Hbr kwa wote. Kama nilivyoeleza nina gari aina ya honda airwave model 2006, very good condition. Ninahitaji kubadilishana na kiwanja ambacho kitakuwa ni survey plot, haijalishi wapi ila kiwe dar es salaam. Kwa yoyote aliyetiyari kwa hili tuwasiliane ili kuweza kuangalia vitu husika. Mob ...
  6. T

    Nahitaji makaa ya mawe

    Nahitaji makaa ya mawe please call me aliyenayo. 0715800888
  7. T

    Nauza makaa ya mawe

    Nahitaji makaa ya mawe please call me 0715800888 asap.
  8. T

    Nahitaji Gari kwa Milioni 8

    Kama bado hujapata ipo Honda Airwave model 2006. Cc 1490 Namba Cuw. Kama uko serious text me. 0756600311.
  9. T

    Nyumba inauzwa barabara kuu kutoka Arusha - Singida

    Bei kubwa hiyo kwa huko hanang ndio maana unaona wana jf wanapita kimya kimya
  10. T

    Natoa Lock za iphone, iPad Macbook Pro ambazo zina iCloud

    Nipe bei ya kutoa Icloud lock nipate kukutafuta.
  11. T

    Shamba linauzwa Morogoro (Mikumi)

    Weka bei tuangalie nguvu zetu km zinaweza ndio tu pm fanya faster.
  12. T

    Niuzie Pump ya Kupandisha maji katika Kisima

    Nikuuzie pump km bado hujafika huko gerezani hizo pump zengine majanga za gerezani. Weka namba nikupigie or call 0715800888
  13. T

    Niuzie Pump ya Kupandisha maji katika Kisima

    Wacha kesho mapema nikupe data zake ukiona kimya nishtue ok
  14. T

    Niuzie Pump ya Kupandisha maji katika Kisima

    Pump ipo hiyo vipi bado unahitaji.
  15. T

    Spare parts za caterpillar na komatsu

    Napenda kuwajulisha wanajamvi wote wa JF kuwa tunauza spear au vipuri aina zote za caterpillar machine na komatsu za model zote. Kuanzia injini parts, hydraulic na under carriage. Tunapatikana ilala mtaa wa arusha / moshi. Kwa mawasiliano au maelezo yeyote yanayohusiana na spear parts za...
Back
Top Bottom