GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,742
- 2,079
Kichwa cha habari kinausika. Ipo Endasak wilaya ya hanang', inatazama barabara kuu ya kutoka Arusha kwenda singida. Eneo lake ni hatua 22 kwa 70. Ina milango 2 ya biashara na vyumba 3 vya kulala na msingi wa vyumba kumi tayari.
Bado kuna eneo kubwa la kujenga chochote kwa nyuma. Kama vile godauni, Nyumba nyingine. Kifupi ni mahari pazuri hata kwa guest,hoteli kituo cha mafuta au kuishi.
Bei ni Tsh.48 milioni. Maongezi yapo. Pm namba yako ili tuongee au weka hapa.
Picha yake hiyo hapo.
KARIBUNI SANA.