Recent content by Takule Jr

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini upate shida ukiwa china

    Mimi ni Mtanzania ninayeishi China. Mji wa Guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza Kiswahili,Kiingereza na Kichina. Pia ninafahamu masoko na Viwanda yenye bidhaa zinazouzwa Tanzania. Ninapokea order mbalimbali kutoka Tanzania kama: 1. Mobile Accessories 2...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini upate shida ukiwa china

    Ahsante sana mkuu....Nashukuru mno
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini upate shida ukiwa china

    huu mji ninaoishi ni Guangzhou....naweza nikasema ni mji mama kwa nchi ya China na unachangia kwa kiasi kikubwa sana uchumi wa China....Guangzhou ni mji wenye viwanda vingi na masoko mengi yenye kila aina ya bidhaa ambazo si tu zinakuja barani Africa bali hata zinaenda katika mabara mengine kama...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini upate shida ukiwa china

    mkuu naomba unitumie email....charlzmallya@gmail.com
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini upate shida ukiwa china

    Hapo inawezekana kwani kuna soko linaitwa Foshan huko tutapata finishing materials zote za nyumba bila kusahau furnitures na kwa bei nafuu.....naomba unitumie email mkuu....charlzmallya@gmail.com......Nashukuru sana
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini upate shida ukiwa china

    nimekusoma hapo kaka...unaweza ukani inbox kwa kupitia email yangu pia unaweza chagua logo yako ya tshirt au ukadesign namna unataka business card yako iwe au ukaandika vitu unavyodeal navyo halafu ukatuma mm nikatoa sample nikakuonyesha kwa email yako
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini upate shida ukiwa china

    mkuu unaweza ukani inbox kwa email yangu tukaongea vizuri...Nshukuru sana
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini upate shida ukiwa china

    hapana mkuu bei ni nafuu kabisa na kabla sijafanya kazi na mtu lazima kwanza tujadiliane malipo na namna ya utaratibu mzima unavyokuwa....basi kukiwa na maelewano ndo kazi inafanyika kwa umakini na kwa bei amabayo wewe utanufaika nayo kifaida.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini upate shida ukiwa china

    Mimi ni Mtanzania ninayeishi China. Mji wa Guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza Kichina,Kiingereza na Kiswahili. Pia ninafahamu masoko mengi yenye bidhaa zinazouzwa Tanzania. Ninapokea order mbalimbali kutoka Tanzania kama: 1. Mobile...
Back
Top Bottom