Recent content by Tajiri kichaa

  1. Tajiri kichaa

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Hello mm ninayo ya nyuki wakubwa pure kabisa vipi Kama una connection piaa
  2. Tajiri kichaa

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Naomba connection nina uza soya lishe pamoja na asali mbichi nyuki wakubwa.
  3. Tajiri kichaa

    Asali inalipa

    Nauza asali Mbichi Nyuki wakubwa ni asali Nzuri Sana pure kabisa dumu la Lita 20 Bei yake ni 165,000/= karibuni Sana
  4. Tajiri kichaa

    Kusafirisha asali nje ya nchi

    Sawa ntashukuru sana
  5. Tajiri kichaa

    Kusafirisha asali nje ya nchi

    DSM asali ipo Mbeya Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Tajiri kichaa

    Kusafirisha asali nje ya nchi

    Karibu Sana bila Shaka Mkuu.
  7. Tajiri kichaa

    Kusafirisha asali nje ya nchi

    Inatokea mkoa wa Mbeya
  8. Tajiri kichaa

    Kusafirisha asali nje ya nchi

    Sawa, Asali ipo Mbeya namba yangu 0653240453, ni Mbichi Nyuki wakubwa,. Ni asali pure kabisa. Lita 20 ni 100,000 na ipo kwa wingi wa tani 50.
  9. Tajiri kichaa

    Kusafirisha asali nje ya nchi

    Lita 20 = 100,000
  10. Tajiri kichaa

    Natafuta soko la soya

    Habari wakuu, Nina tafuta soko la soya ninazo nyingi Sana naomba kufaham masoko yake niwapi hasa maana kwa Sasa ninawauzia watu waliopo kwenye masoko yakawaida Ila nataman kupanua soko zaidi naomba tuwasiliane 0653240453, kitu kingine ambacho ninacho ni asali ya nyuki wakubwa Mbichi pamoja na...
  11. Tajiri kichaa

    Kusafirisha asali nje ya nchi

    Wakuu habari. Nina uza asali ya nyuki wakubwa ninayo nyingi mno nisaidieni mwenye kufaham soko la uhakika hata tani 30 inafika pia nta zake zipo nyingi sana. Ahsanteni.
Back
Top Bottom