Recent content by Tajiri Boss

  1. T

    Employment Opprotunity, TRA; Deadline 20/10/2015

    Sasa kama walikuwa hawajajipanga, mboma wamezitangaza?.ndio yale yale ya ppf.kuwapatia watoto wao ajira.
  2. T

    Nafasi za kazi NSSF

    Hizi nafasi tayali zimekwisha jaa, hilo tangazo ni garesha tu.
  3. T

    Interview PPF

    Haki ya mungu, huu mfumo unatakiwa uondolewe, chadema wanaweza kuondoa uonevu huu.
  4. T

    Interview PPF

    Amaizing unauhakika kwa unachotutaarifu?. Manaake mchakato umechukua muda mrefu sana.
  5. T

    Interview PPF

    Sasa kama zinawatu, kwanini watuite watu wa mikoani?. Hawatuonei huruma kwa gharama tunazotumia kwenye nauli zetu, basi watulipe nauli tulizotumia watu wa mikoani ili tumalizane kwa amani.
  6. T

    LAPF hawakuwa kama PPF jana?.

    Jamani wadau mliokuwa kwenye interview ya pili ya compliance officer pale dodoma jana, Interview ilikuwaje?, Ninawasilisha.
  7. T

    LAPF wanaita oral interview Dodoma

    Hawa jamaa wanaonekana hawana longolongo kama PPF, Hongeleni sana.
  8. T

    LAPF wanaita oral interview Dodoma

    Interview itafanyika lini?.
  9. T

    Hii hatari: Watu 3034 nafasi 4, interview ya LAPF

    Ndo maana sikwenda, manaake kutoka mara mpaka dar ingenicost sana. Alafu mtu unagharamika kwenye hakuna.
  10. T

    Oral PPF ni lini?

    Daah, mmtatufilisi jamani!.
  11. T

    Oral PPF ni lini?

    PPF IMEAJIRI WATOTO WA VIGOGO MBONA WA BOT WALISHTAKIWA? Miaka michache iliyopita BOT ilichunguzwa jinsi ilivyojaza watoto wa vigogo. PPF kama shirika la umma, ajira inatakiwa iwe kwa watanzania wenye sifa na waajiliwe kwa utaratibu wa wazi. Lakini sio hivyo kwa PPF wengi wameajiliwa kwa maagizo...
  12. T

    Oral PPF ni lini?

    We chief jj acha zako, mifuko ya jamii huwa wana written mbili na oral moja. Baada ya uchakachuaji wao wataita watu wao kwa oral. Na baada ya hapo ni kazini kaka.
  13. T

    Oral PPF ni lini?

    Kiukweli paper ilikuwa ngumu sana, lakini huwezi kujua , unaweza mtu ukabebwa kwa kubahatisha kwa yale maswali ya multiple choice.
  14. T

    Oral PPF ni lini?

    Kulikuwa na maswali ya multiple choice pale mkuu, huwezi jua. Labda ninaweza kubebwa na hayo maswali. Japo kuwa ki ukweli ile paper ilikuwa kigongo, sijawahi kukutana na paper kama ile.
  15. T

    Oral PPF ni lini?

    Kwa waliokuwa kwenye interview ya pili pale chuo cha elimu ya watu wazima. 27/06/2015. Wale wasimamizi hawakuongelea itachukua muda gani kuanza kuita watu kwa oral interview.
Back
Top Bottom