Mkuu uliyeleta hoja kwanza nakushukuru kwa maelezo hayo maana inaonesha uko katika maeneo ambayo tukio la kinyama limefanyika. Kama maelezo yako ni ya kweli; basi ni vema turejee kwenye kauli za baba wa Taifa mwaka 1995 pale ambapo ndugu Lowassa alishindwa kujibu hoja ya hayati Baba wa Taifa...
Mjadala wa Urais 2015 unazidi kushika kasi, japo baadhi ya wanasiasa na wapambe wao hawapendi hili lisemwe kwa sababu wanazozijua wao. Ni wazi kwamba wagombea wote watakaojitokeza kuomba nafasi hiyo ya juu zaidi watakuwa na mapungufu yao kama binadamu lakini kama Taifa linalohitaji kujikomboa...
Mkuu nakubaliana na majibu yako. Katika baadhi ya nchi ulizotaja mfano Marekani; baadhi ya matukio kama vile ya ugaidi yanatokana na uzembe au kujiamini kupita kiasi. Mfano; tukio la Septemba 11, 2001 na lile la kulipuliwa kwa ubalozi wake Dar es Salaam na Nairobi mwaka 1998. Kama unafuatilia...
Kutokana na matukio ya ugaidi na uhalifu mwingine kuongezeka hapa nchini; je hatuna Intelijensia katika Jeshi la Polisi
na katika Idara ya Usalama wa Taifa? Maana vyombo hivi vya dola vinaowajibu wa kukusanya taarifa mbalimbali za kiusalama kwa lengo la kuzuia matukio mabaya kufanyika. Kitendo...
Kauli ya Nape inasikitisha sana. Hata hivyo inaonyesha wazi jinsi chama hicho kilivyojaa wahuni, wanafiki na vizabizabina. Haiwezekani mtu uchome nyumba yako mwenyewe huku wewe mwenyewe ukiwa ndani ya nyumba hiyo. Ni taahira tu anayeweza kufanya hivyo. Hivyo anayetoa kauli kama hii anastahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.