Inashangaza sana wakuu. Huku Arusha unalipia 40,000 TRA pamoja na renewal ya road license. Serikali inaongozwa na kichwa cha nazi, kimejaa maji. Wezi wakubwa 40,000 bila mtungi just stiker tu, wanyonyaji wakubwa.
Mwenye akili timamu hili haliingii hata kidogo. Natamani nimiliki mitambo ya nyuklia halafu niende nayo pale central na ikulu. Huu ni upumbavu sana, mtu mzima unatoa matamshi yasiyoeleweka kwa wadai haki. Police wote ni mafisadi na ndiyo maana hawana maendeleo hata kidogo kwa kuwa akili zao ni...
Hakuna wizi wowote makato yapo sawa tena niwapongeze CRDB kwa kukusanya charges katika huduma zao, kwani bila charges huduma isingekuwa nzuri leo hii. Bank ni duka kama maduka mengine hivyo kukusanya mapato yake kwa huduma wanazotoa ni suala la muhimu kuliko chochote. Kadi inapokamatwa ni...
Inchi hii waungwana imeshauzwa, ndiyo maana yule patel aliipa serikali saa 24 bei iwe imerudi palepale, ki ukweli alikuwa anajua anachokisema kwani siku chache bei ikarudishwa kama kawa. Ama kweli hili ni shamba la bibi, inauma sana lakini hamna jinsi. Wakubwa wameamua kuwa mafisadi papa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.