Hapo nimekuelewa labda nikwambie kuna tofauti kati ya kumkosoa na kumkashifu mtu hakuna kiumbebanaeweza kumkosoa mungu isipokuwa kumkashifu
Hata watanzania wengi wanafanya kukashifu mf kusema pombe sio chai wakizani wanakosoa kumbe wanakashifu
Je nikweli wamezid kukosea hali ya uchumi dunian kote ni mbaya sasa watu wanataka tuishi kama tupo japani haiwezekani hata kama tuliahidiwa tukumbuke kuku hawezi kupata vingaranga bila kutaga na kutotoa
Huo ukweli lakin mambo hayo hayapo vichwan mwa watanzania kama ingekuwa tunawaza uongozi sio degree hadi muda huu mjadala wa bashite usingekuwepo lakin kwakuwa ndo kweny mwanya acha watu waongee yasio ya msingi et tuachie nchi yetu we nani mtu unaebet uachiwe nchi[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Tangu mh. JPM kuingia madarakani mengi yameonekana akiwa kama binadamu hakosi madhaifu ila watanzania too much tumezidi kukosoa hatujui hata kusifia nauhakika kuna mtu hapa ukimuuliza jema moja la mh JPM atakwambia hana.
Mwisho wa kuwaza
Da jamii forum imejaa mashabiki na sio magreet thinker kama nilivyokulia humu badilikeni kuna thread haziitaji hata comment sijui mtoa mada alitaka watu wacomment nn ila wengi mmeonekana kuchanganya maji na unga ndani ya maji yenye 0°C
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.