Recent content by Taarifasahihi

  1. T

    Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

    Kwani lazima Kwani lazima Raisi atoke miongoni mwa mawaziri?? Shughulisha kichwa chako, acha uvivu wa kufikiri!!
  2. T

    Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

    Who is Makamba by the way?? Kwamba hakuna mtanzania anayemfikia na kumzidi!!! You must be jocking. Kama in Uchawa, wewe ni wa kiwango cha Lami.
  3. T

    Ujumbe alioukimbia Rais Samia nchini US apokelewe nao nyumbani arudipo

    So what, wanaohoji wana akili timamu!
  4. T

    Uzi maalum wa “kula bila kuvimbiwa”

    Kwahiyo Nape ameunga kamba yake imekuwa ndefu, anakula kwa huo urefu siyo??
  5. T

    Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

    Para ya mwisho ina maanisha nini kusema "hata dunia ipige kelele hatashughuliwa". Mimi imenichanganya.
  6. T

    Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

    Uliwasomesha wewe??
  7. T

    Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

    Mzee wa: Kipaumbele namba moja, Elimu, mamba mbili Elimu, namba tatu Elimu. Get well soon!
  8. T

    Biharamlo: Shule ya Msingi Nyamalagala, Watoto wanakaa chini na Madarasa ni nyasi

    Kwanini aitwe msaliti, kwamba shule zenye hali kama hiyo zisionyeshwe?? Maana yake wakubwa wasizione ili wazipe vipaombele. Yaani watoto wetu waendelee kuteseka? Unataka tuendelee kupost madarasa mapya, ili iweje? Kama mnaona aibu zijengeni na hizi shule, najua ziko nyingi. Nilidhani huyu mdau...
  9. T

    Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

    Nafasi si hiyo kapewa, wewe hujardhika?? Unataka apewe nafasi gani??
  10. T

    Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

    Dhambi ya usaliti haijawahi kumuacha MTU salama. Waitara ameanza kulipa hiyo dhambi. Sidhani kama ukitoa familia yake, kuna yeyote anayeumizwa na kutumbuliwa kwake! Let him go!
  11. T

    Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

    Huyu in kwa sababu ya ULEVI wake na yuko arrogant kupita kiasi. The guy doesn't behave/look as a minister. Yaani MTU unajiuliza huyu naye aliupataje hata huo uNaibu!! Very useless guy ever seen on earth. Nadhani atarudi Ukawa sasa. Anyway, who cares he can go even to hell!
  12. T

    Why Prof. Kabudi is shy and quiet these days?

    Hahitaji chanjo yule, si ndiyo alikuwa wkala wa ile ya Madagascar? Si akipiga dose ya Madagascar huyu?
  13. T

    Why Prof. Kabudi is shy and quiet these days?

    Muulizeni na ile shehena ya madawa aliyofuata Madagascar iko wapi? Au waliimaliza yeye na jamaa yake? Kama bado ipo aitoe tuwe tunashushia kwenye chanjo. Hivi ilifanyiwa utafiti na wataalamu wetu kweli kabla ya yeye kubugia siku ile mbele ya kamera!!??
Back
Top Bottom