Hiyo kodi inaitwa tax on winnings, na inatambulika kisheria na gaming board (GBT) na serikali kea ujumla. Wala hatuibiwi ni taratibu tu za uendeshaji wa mchezo.
Yaani wamechemka hata kuchapa hyo offer..... Mwisho hapo baada ya CONGRATULATIONS wamejiita "Adexe" halafu mstari unaofuata tu wamejiita tena "ADEXEC".... Hawajui hata kuiba bwana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.